“nimepiga window lakini imeshindwa kumalizia” jinsi gani unaweza ku tatua hii changamoto

 “nimepiga window lakini imeshindwa kumalizia” jinsi gani unaweza ku tatua hii changamoto

Fanya yafuatayo

Bonyeza “shift” alafu “f1o”  nyezo “au tools” inayoitwa command prompt itafunguka

Tumia maandishi “command” zifuatazo 

>net user administrator /active:yes

>net user administrator mypass

>restart kompuyuta yako bila shaka utakua umetatua hilo tatizo

Kama imegoma tumia command hizi badala ya hizo za kwanza

>cd %win%system32/oobe/ malizia na “eter

>msoove   malizia na enter

>tengeneza account na weka passwoard

>restart computa yako

Jaribu kuangalia video hii ya

Comments

Popular posts from this blog

FAHAMU VISABABISHI VYA UGONJWA WA NGIRI(HERNIA)

Fahamu faida 30 za mmea wa Aloe Vera

Catnip