Homa hutokeaje

 




Homa hutokeaje

Homa ni hali ya wanyama kuwa na halijoto ya mwili juu ya halijoto ya kawaida (37 c katika mamalia)


Halijoto ya kawaida ya mwanadamu ni kati y a3. Na 37 sentigredi za selsiasi ikipimwa chini ya ulimi

Homa husababishwa na ugonjwa, ni dalili ya kwamba kingmwili inapambana na vijidudu au vijimea vinavyosababisha ugonjwa Fulani.

Homa si ugonjwa wenyewe bali ni dalili ya magonjwa mbalimbali. Katika lugha ya kila siku malaria mara nyingi huitwa “homa” ingawa kupanda kwa halijoto ya mwili wakati wa malaria ni dalili ya mapambano dhidi ya vijidudu vya plasmodium tu



Comments

Popular posts from this blog

KOZI YA KOMPYUTA KWA KISWAHILI

Lies the poor parent tell children