Fingerprint “alama ya vidole”inafanyaje kazi

 Fingerprint “alama ya vidole”inafanyaje kazi

Watumiaji wengi wa simu wanatumia “vitambuzi vya alama za vidole “sensor za fingerprint:  kwa ajili ya usalama na utambuzi wa mtumiaji wa vifaa vyao.

Aina kuu za  vitambuzi vya finger print “fingerprint sensor” zinazotumika leo ni  zile zinazotumia picha “optical sensor” na zile zinazotumia teknolojia ya mguso “capacitive sensor”

“scana za mwanga” Optical scanner

Hizi zinafanyakazi kwa mwanga kuchukua picha ya kidijitali toka kwenye kidole chako.

Chipu zinazoweza gundua mwanga “light sensitive microchip” zinachukua picha ya kidijitali kwa kuangalia vimiinuko na viobndo vidogovidogo kwenye alama zako za kidole, zinazibadilisha picha hizo kuwa mfumo wa 1 na 0 na kutengeneza kodi ya mtu mwenye simu “user personal code”

Tatizo la scana za aina hizo ni kwamba picha hio ya kidijitali inaweza kutengenezwa

Sense za mguso “capacitive fingerprint sensor” 

Hizi zinapatikana zaidi kwenye simu siku hizi

Zinafanya kazi kama skrini ya mguso ya simu yako “capacitive touchscreen” 

Zinapima kidole chako kwa kutumia chaji ya kidole chako “human conductivity” kidole chako kina tengeneza eneo la umeme kuzunguka kidole chako“electrostatic field”  na hatimae hutengeneza picha ya kidijitali kwa kutumia eneo hilo la umeme mtuo “electrostatic field”


Scana hisi jutumia sakiti ndogo ndogo za kapasita “capacitor array circuit”  ambazo huweza kugundua taarifa ya mguso wa kidole

Hutumia miinuko ya alama za kidole unazoweka juu ya kinasio cha alama “conductive plate” ambacho hubadili chajizilizotunzwa kenye capasita , whakati huo viji gepu kwenye kidole chako huacha chaji za kwenye capasita zikiwa hazijabadilika

Sakiti ya kukuzia na kuchakata taarifa hio “operarional amplifier integrator circuit” ita gundua “tracks” mabadiliko hayo na kuyatunza kwa kutumia  konveta “analog to digital converter” ambayo husaidia taarifa hii kuchakatwa


Teknolojia hii ina ufanisi zaid

Comments

Popular posts from this blog

FAHAMU VISABABISHI VYA UGONJWA WA NGIRI(HERNIA)

Fahamu faida 30 za mmea wa Aloe Vera

Catnip