Betry zinafanyaje kazi
Betry zinafanyaje kazi
Betri zina seli “electrochemical cell” seli hio inaweza kutengeneza chaji hasi na chanya
Ndani ya “electochemica cell” kuna sehemu za muhimu zinazosaidia kutengeneza umeme
“electrode” matilio yanayofanya seli iwe positive na negative
Upande negative”anode na upande chaya ni “cathode”
Electrolyte ni kemicali iliyo kati ya cathode na anode : electrolyte inasaidia chembe za “ion” zenye chaji ku tembea kati ya cathode na anode
Kuna “semipermeable separator” sehemua ambayo hutenganisha “electrode”
Ukichomeka waya za pembeni unatengeza “external circuit” ambayo itaunganisha taa (kwa mfano) kwenye “cathode”
Uki ongeza chaji kweye seli utaanzisha “chemical reaction “kati ya anode na electrolyte hii itasababisha anode kutoa “electron” kwenye anode hizo electron zitasafiri kupitia kwenye sakiti kwenda kwenye “cathode”
Ion zilizo ahcwa kwenye anode zita safari na na kuungana na electorn kwenye cathode
Comments
Post a Comment