Sabuni tiba

 *ANATIC HERBAL SOAP* Ni sabuni iliyotengenezwakwa asali mwitu,green tea(majani ya chai),liwa na mbegu za zabibu.. *HAKUNA* *KEMIKALI* zimetengenezwa katka maabara na kuthibitishwa Nchini Marekani na TFDA hufanya kazi nyingi na za maajabu. 

Shere Link moja kwa moja in box ili upate huduma👇
https://wa.me/255655707541
1⃣_ *KUONDOA* *CHUNUSI SUGU NA* *MADOA* *YALIYOSHINDIKANA* ., 
hutengeneza seli zilizokufa kwa kuondoa rangi ya madoa, alama za kuungua ktka ngozi na kupunguza mlundikano wa mafuta unaosababisha chunus zisizokwisha.

*2⃣_HUTUMIKA* *KUSHEVIA NA KUONDOA* *HARUFU* *MBAYA YA JASHO KALI* (kikwapa)
ukitumia kushevia italinda hali ya kutoka na mapele yatokanayo na wembe, na huyaponya yote kama tayari yalishatokea, hufanya mwili kuwa mwepesi zaid kwa kuondoa jasho Kali La kikwapa.

*3⃣_HUONDOA WEUSI* *MAKWAPAN NA SEHEMU* *ZA SIRI* ., 
Huondoa rangi yote isiyohitajika katika ngoz na kuiacha rangi moja tu yenye kupendeza ikibaki na asili yake

*4⃣_HUONDOA* *MIKUNYANZ NA KUZUIA* *HALI YA* *MIDOMO KUPASUKA* . 
hupambana na hali ya ngoz kuchoka mapema na kurudisha unyevunyevu katka ngoz kwa kuondoa mikunjo mikunjo

*5⃣_HUTIBU FANGASI ZA* *MIGUU NA* *MAGAGA* .
huripea ngozi iliyofubaa kwa kuondoa magaga madogo madogo na fangasi za miguu kwa wale wanaovaa viatu kwa muda mrefu.

*6⃣_HUTIBU M,BA* *MAPUNYE NA* *UTANGOTANGO* ._ inafaa sana kwa watoto wenye mapunye, inayatibu na kuimarisha ngozi zao kwani ni tofaut na sabun za kawaida, hali kadhalika hutumika kuoshea nywele kwa wenye m,ba kichwani na kuondoa utangatanga kwa jinsia zote.

*7⃣_TUMIA KWA ULINZI* *TOSHA WA* *NGOZI YAKO* .
pia unaweza kuitumia hata kama hauna tatizo lolote, kwani ni tofauti kabisa na sabuni nyingine., huondoa hali ya miwasho ya ajabu ajabu.

NB; Hi ni Afya! na povu lake pia huondoa sumu mwilin na kung'arisha meno machafu, haina kemikali 100% ni ya asili, hutumiwa na wote, piga +255 757 19 22 00 /+255 655 707541
*INAPATIKANA KWA GHARAMA YA TSHS 10,000/-sa

Comments

Popular posts from this blog

FAHAMU VISABABISHI VYA UGONJWA WA NGIRI(HERNIA)

KOZI YA KOMPYUTA KWA KISWAHILI