adsense

 blogger baujiti:

blogger baujiti:

LEEARN IT


Course



MenuHomeITform oneform twoform threeform fourform fiveform six


Home Tricks GOOGLE ADSENSE


GOOGLE ADSENSE


 baujiti  May 27, 2020  Tricks,


RESPONSIVE ADS HERE


GOOGLE ADSENSE ni program maalum ilioundwa na google kwajili ya kuwawezesha wenye blogs, webistes, apps kujipatia kipato:

so kama nlivosema kwa wenye blogs, websites na apps, so pale utapokua unataka kujiunga unatakiwa uwe na moja wapo ya hivo,



NAWEZAJE JIUNGA NA ADSENSE?

-> Ili ujiunge na adsense unahitaji kua na blog au website au app, kwa leo tutaongelea upande wa blogs na websites, ukishakua na hio blog au website utatakiwa kutuma maomba kwenye page ya adsense ya kuomba kupata hii huduma na utajibiwa ndan ya mda flan, mara nyingi ni sku mbili au moja wengine mpaka wiki; utakapojibiwa tayar utapewa codes za kuweka kwenye blog au website yako, kuanzia apo utaanza kupata mapato yako


MAPATO YA ADSENSE YAKOJE?

-> Kwa kawaida hii ni biashara kama biashara zingine duniani , mapato yake hayapo kama ajira ila mapato yake yanatokana na juhudi zako katika blog yako, kwa mfano kwa siku unapata wageni 3000 kwenye blog/ website yako: apa wanatumia mahesabu yao wenyewe ambayo wamejiwekea uko google , lakini kwa haraka haraka yapo kama hivi ukipata wageni 1000 maana yake malipo yako ni kuanzia ($1 - $5) , na hii sio njia pekee tu ya mapato , njia nyingine unayoweza kupata mapato ni kwa clicks, ukishakua na matangazo kwenye website/blog yako hua kuna watu wanapenda kuona matangazo flan , kwa mfano anaeza ona tangazo labda gari linauzwa kwa bei anayotaka lazma ataclick apo aone nn kipo, au aanze kununua, sasa apa hua inategemea na mhusika wa tangazo ameweka budget ya bei gan, kuna clicks zenye bei ndogo sana kuna clicks zenye bei kubwa , kwa mfano kuna matangazo ambayo ukiclick unapata $1 per click mengine unapata $0.03 , so clicks utajumlisha na per 1000 views ulizonazo


KANUNI ZA ADSENSE KABLA HUJAJIUNGA?

-> mpka apo biashara inaonekana nzuri sana, ila kuna kanunia ambazo lazma uzifuate


1. Kuna watu hua wanaombaga mtu aiingie kwenye website yao ili waclick tangazo wapate pesa, ila lazma ujue kua google wanatumia vidakuzi(cookies) kwa hio taarifa zote zako wanazo na ni nyingi kuliko unavodhani, google wanajua kila mtu alieningia kwenye website yako alitokea kwenye computer gan na alitumia browser gan na ilikua mda gan na ulikua unafanya nn kwenye hio computer na vitu vingine vingi ambavyo huezi amini kama wanaeza jua, kwa mfano vidakuzi vya facebook hua vinajua watu waliopo pemben yako na namba zao za simu, ingawa hizi ni siri zao hua hawaziweki wazi ila vidakuzi ndio kazi zao, turudi kwenye mada, ukianza kuomba watu waingie kwenye website yako wakiclick account yako inafungwa na huezi irudisha tena na mapato yako yote yanafutika na ela zako wanapewa wenye matangazo!


2. Kukubaliwa kupata adsense sio kazi rahisi, sio kitu cha kutuma tu na kukubaliwa, kuna asilimia kubwa ya kukataliwa kama hujafuata sheria zao


3. kuna wengine wanadhan wakishakua na blog/ website basi wanaeza toa habari toka blog moja na kuweka kwenye blog yao, kwa taarifa yako, ukicopy post yoyote toka kwenye website yoyote duniani account yako inafungwa na mapato yako yote yanachukuliwa, kabla hujaomba hakikisha hujaiba chochote kutoka kwenye website yoyote duniani au blog


3. Makosa kama kuclick matangazo mwenyewe hayana msamaha zaidi ya mara mbili au moja, tunajua inaeza tokea ukaclick bahat mbaya labda ukiwa unaangalia muonekana wa blog au website ila ikitokea mara ya pili umefanya tena ivo account yako inafungwa na hutaweza irudisha tena



MAFANIKIO YA ADSENSE


-> endapo utafuata kanuni za adsense vizuri we ni mtu ambae mafanikio ni yako, nilivokua kidato cha kwanza ndio nlijua adsense ila skuitumia vizuri kwa sababu ya utoto, nlikua na blog yangu ambayo nlitumia simu kuupdate, nlikua napata wageni zaidi ya 7000 kila sku, kwa siku mapato yalikua yanaenda kwenye $40 - $80 ila kwakua skua nafanya kwa moyo wote, mda mwingi nliutumia kusoma kwa ajili ya mitihan na nkaachana na hii bishara mpaka ilipokuja kununuliwa, mpaka sasa nliemuuzia


za ela

uri kuto


ka kwenye blog, n


a hii inatokana na ule msemo wa "HATUJUI UZURI WA KITU MPAKA TUKIPOTEZE" nlivoona anatengeneza ela nzuri nkasema ntakuja kutengeneza blog ingine ila skupata mda , lakini nimeona niwape walau mwanga!


-> Yule alienunua blog alikua anatengeneza zaidi ya $4200 kila miezi minne hii ni kama 10 MILLION za kitanzania:


-> pia kuna baadhi ya website kama apa jamii forum wanatumia adsense kwenye matangazo yao, pia kuna wakina millard ayo: kwa mujibu wa website ya millard ayo inasema kua ana wageni 500,000 kila sku , na ni mmoja wa watu wenye adsense althoug anasehem nyingi ila kutokana na sheria za mapato ya adsense ina maana millard anatengeneza zaidi ya 1M - 2M kwa sku kwenye blog, pia kuna youtube channel yake , kuna mikataba ya makampuni:



Mpaka apo sina la ziada , nawatakia kila laheri kwa watakaochangamkia fursa kama hii

0768248808 WhatsApp Kwa kesi za Adsense


*JINSI YA KUFANYA VERIFICATION KATIKA GOOGLE ADSENSE BAADA YA KUPOKEA PIN KUTOKA GOOGLE*


πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ


*https://youtu.be/IuMzLoamoxk*

Comments

Popular posts from this blog

FAHAMU VISABABISHI VYA UGONJWA WA NGIRI(HERNIA)

Fahamu faida 30 za mmea wa Aloe Vera

Catnip