Kutibu vidonda vya tumbo
#JINSI YA KUTIBU #VIDONDA VYA #TUMBO #KWAKUTUMIA #VYAKULA VYA #ASILI
Watu wengi hawajui kuwa vidonda vya tumbo husababishwa na mienendo mibaya ya maisha yetu na mfumo wa chakula cha kila siku.
#Dawa kama Omeprazole, Tagament, Cimetidine na nyingine nyingi za hospitali huwa zinapunguza maumivu kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo.
1⃣: Dawa hizi hupunguza asidi (tindikali) ambayo huharibu kuta za mfuko wa chakula.
2⃣: Zinazuia asidi tu, bila kushugulika na #chanzocha kuongezeka kwa hiyo tindikali.
3⃣: Kwa hiyo, bila kuondoa chanzo kinachosababish
4⃣: Kwa kawaida dawa za hospitali mara nyingi huja na maudhi mbalimbali kwa kuwa ni dawa ambazo zimetengenezwa kwa kemikali.
#VIDONDA VYA #TUMBO #NI #NINI?
Ni kuharibika kwa ukuta wa tumbo la chakula na sehemu ya Mwanzo ya utumbo mwembamba. Kuna aina kuu mbili za vidonda vya tumbo
1⃣. Gastric ulcers-hivi hutokea kwenye mfuko wa tumbo la chakula.
2⃣. Duodenal ulcers-hivi hutokea sehemu ya mwanzo ya utumbo mwembamba.
Chanzo cha vidonda vya tumbo ni kuongezeka kwa asidi kwenye tumbo la chakula.
#Dalili za vidonda
*Baadhi ya dalili za vidonda vya tumbo njaa kupita kiasi hasa usiku, tumbo kuwaka moto sehemu ya juu kwenye chembe, tumbo kujaa gesi, kuhisi kichefu chefu na kuharisha kutokana na kubagua vyakula.
#JINSI YA KUTIBU #VIDONDA VYA #TUMBO:-
Tunazo Supplements Ambazo zinatibu Chanzo
Ambazo ni Antibacteria #Antidirrheal & Probiotic & #Constrelax
Link👉062980
Comments
Post a Comment