Catnip

 


Umeona majani haya kitaalamu mti huu huitwa Catnip Tanzania zipo sana,

Ukichukua matawi 3-5 ya majani haya ukayasaga na maji ya moto (baridi) 
- Huponesha kuhalisha.
- Huzuia vidonda vya tumbo.
- Hutibu ugonjwa wa kisukari hasa ukichanganya na maji ya nazi.
- Huzuia PID kwa wanawake wote.
- Huponesha chango kwa watoto wachanga.
- Huponesha vimbe za kungatwa na wadudu, umbu.

Ukipanda UA hili ndani ya nyumba yako au jirani nanmzingira ya nyumba yako unaweza kuzuia Umbu wa malaria kwa zaidi ya asilimia 52% kwenye mazingira yako.

Asante

Comments

Popular posts from this blog

FAHAMU VISABABISHI VYA UGONJWA WA NGIRI(HERNIA)

Fahamu faida 30 za mmea wa Aloe Vera