JINSI YA KUTIBU MENO KIASILI

 Watanzania wangapi wanateseka na shida ya kinywa ?

Meno yako yanang'oka ?
Kinywa kinatoa harufu kali licha ya kuswaki ?
Meno yako yametoboka ?
Ni mfungo wa siku 7
Mfungo 
Mfungo
Mfungo

Mfungo huu utakaa siku 7 bila kupinga mswaki kwa dawa yoyote ya meno, ila kwa kufuata maelekezo haya 
(1) Kila asubhi ukiamka unatafuta 
- Punje 3 za kitungu swaumu 
(kama unabacteria wanaoshambulia meno)

- Punje 4 za vipande vya mdarasini 
(Kama kinywa chako kinatokwa na harufu kali)

- Unga wa mkaa kijiko ½
(Kama unauchafu wa acid kwenye meno)

- Chumvi ya meno + Limao/ndimu
(Kama unamate machafu kinywani)

- Ungawa wa mti wa mwarobaini
(Kama imekuwa ukingoa meno)

- Tafuna karoti
(Kama meno yako sio imara)

Kwanini mfungo huu hutakiwi kupiga mswaki na dawa za meno ?

" Ngoja nikwambie kwenye dawa hizo za meno kuna kemikali inayoitwa fluoride kazi ya fluoride wanasema hungalisha na kuboresha meno " No No sio kweli fluoride wanayoweka kwenye meno ni kemikali ambayo hupatikana kwenye ukanda wa fluoride belt hasa mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Moshi kama fluoride ingekuwa inaimalisha meno watu wanaokunywa maji ya ukanda huo yenye fluoride wasingekuwa na shida za meno maana meno yao yameungu au kuoza maana kinacho haribu meno ni hiyo hiyo ma- fluoride ambayo ndiyo unaipata kwenye dawa ya meno.

Ndio maana kupiga mswaki unapiga kila siku ila shida na maumivu ya meno yako pale pale, jaribu kuona matokeo yake na mimi.

Comments

Popular posts from this blog

FAHAMU VISABABISHI VYA UGONJWA WA NGIRI(HERNIA)

KOZI YA KOMPYUTA KWA KISWAHILI