UGONJWA WA AMIBA

 AMOEBA/AMIBA NI UGONJWA WA TUMBO USIOFAHAMIKA KWA WATU WENGI

&-Watu wengi wanaugua magonjwa ya tumbo lakini ni wachache wanaofahamu kuhusu ugonjwa wa amoeba. 
&-Amoeba/Amiba ni ugojwa ambao husababishwa na bakteria aitwaye Entamoeba Histolytica ambaye huishi katika kinyesi cha mwanadamu. 
&-Ugonjwa huu huweza kuhathiri hadi uti wa mgongo pamoja na ubongo hivyo kupelekea mtu kupata matatizo ya akili pamoja na mgongo.
&-Vimelea vinavyoenezwa na bakteria huyu humsababishia mtu kuhara haja ambayo huonekana ina kamasi

NJIA ZA KUPATA
%-Kula matunda bila kuosha
%-kutokunawa mikono baada ya kutoka chooni
%-kula chakula bila kuosha mikono
%-kunywa maji yasiyochemshwa

WATU AMBAO WAPO HATARI KUPATA HAYA MARADHI NI
¥-Wasafiri
¥-Mashoga
¥-Wanafunzi
¥-Wafanya biashara sokoni
¥-Huanza kupata maradhi pale ambapo unakunywa au kula kitu ambambo ¥-kimechanganyika na hawa bacteria kisha wanaenda katika utumbo mdogo wanazaliana ¥-kuwa wengi baadaye wanashuka katika utumbo mkubwa na kuanza kushambulia ¥-mwili. wakikua huishi katika kinyesi cha binadamu kisha hutolewa kwa njia ya haja ¥-kubwa na kuishi katika aridhi kwa muda wa wiki nne.

DALILI ZAKE
Dalili huanza kuonekana ndani ya week 1 hadi 4 tokea mtu amekula mayai ya wadudu hawa.Dalili za ugonjwa huu ni
$-Maumivu ya tumbo ambapo tumbo linakua kama linanyonga na maumivu yanakua hasa sehemu ya kitovu.
$-Kuhara choo kilichochanganyikana na vitu vinateleza kama kamasi na saa nyingine kimechanganyikana na damu

Kuhisi haja na ukienda chooni unapata choo kidogo sana
@-Tumbo kujaa Gesi
@-kupungua uzito
@-homa

Endapo wadudu wameathiri Ini mtu hupata dalili kama
©-Homa
©-Maumivu ya kichwa
©-Maumivu ya tumbo hasa sehemu ya kulia ya tumbo karibu na kifua.

JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA HUU
Usafi wa mazingira, maji na chakula ndio njia kubwa ya kukukinga na ugonjwa huu, ∆-ikihusisha kunawa mikono kwa maji safi na sabuni unapotoka chooni.Vitu vingine vya kuzingatia ni pamoja na
∆-Kuosha vizuri matunda na mboga mboga kabla ya kula
∆-Epuka kula matunda na mboga mboga ambazo hujaziosha wala kuzimenya wewe mwenyewe
∆-Chemsha maji ya kunywa au tumia maji yaliyo salama mfano yaliyowekewa dawa ya chlorine(water guard)
∆-Epuka kutumia maziwa au bidhaa za maziwa kama Cheese ambayo hayajachemshwa vizuri
Kama ni mpenzi wa Kachumbali au Salad kwa kuwa hazipikwi weka VINEGAR(Siki) kwani mbali na kuweka radha ya uchachu ila ina ACETIC ACID ndani yake ambayo husaidia kuua wadudu.
∆-Ugonjwa wa amiba sio wa kuchukulia poa kwani usipotibika mapema huweza kuleta madhara makubwa sehemu mbalimbali za mwili. 
∆-Ni vyema kuzingatia usafi wa mazingira maji na vyakula ili kuepuka hatari ya kupata ugonjwa huu. Na unapopata dalili hizo basi wahi hospitali kupata matibabu.

TIBA YAKE 
:Majani ya mpera
Tiba asilia inayotumika kumaliza kabisa tatizo hili ni pamoja na majani ya mpera, unayachukua na kuyakamua kwenye maji masafi ya kunywa ukiwa umeshayaosha vizuri kisha unakunywa nusu kikombe kwa siku mara tatu kwa siku tatu mfululizo. Kitunguu swaumu
Chukua kitunguu swaumu punje tano menya kisha viweke ndani ya nusu lita ya maji safi na salama, changanya na maji ya limao moja chemsha mpaka maji yapungue, usisahau kuweka chumvi(au Asali) kidogo kwa ajili ya kupata ladha.
Ukishatengeneza kinywaji hicho unaweza kunywa kila siku glasi moja.
Ni tiba nzuri isiyo na madhara kwa mgonjwa.

NB
kwa tiba ya marathi mbali mbali na madawa ya miti shamba wasiliana na dr ismail kwa 

Comments

Popular posts from this blog

KOZI YA KOMPYUTA KWA KISWAHILI

Lies the poor parent tell children