adsense
blogger baujiti: blogger baujiti: LEEARN IT Course  MenuHomeITform oneform twoform threeform fourform fiveform six Home Tricks GOOGLE ADSENSE GOOGLE ADSENSE baujiti May 27, 2020 Tricks, RESPONSIVE ADS HERE GOOGLE ADSENSE ni program maalum ilioundwa na google kwajili ya kuwawezesha wenye blogs, webistes, apps kujipatia kipato: so kama nlivosema kwa wenye blogs, websites na apps, so pale utapokua unataka kujiunga unatakiwa uwe na moja wapo ya hivo, NAWEZAJE JIUNGA NA ADSENSE? -> Ili ujiunge na adsense unahitaji kua na blog au website au app, kwa leo tutaongelea upande wa blogs na websites, ukishakua na hio blog au website utatakiwa kutuma maomba kwenye page ya adsense ya kuomba kupata hii huduma na utajibiwa ndan ya mda flan, mara nyingi ni sku mbili au moja wengine mpaka wiki; utakapojibiwa tayar utapewa codes za kuweka kwenye blog au website yako, kuanzia apo utaanza kupata mapato yako MAPATO YA ADSENSE YAKOJE? -> Kwa kawaida hii ni biashara kama biashara ...