OKSIJENI NI BLOG. INAYOKUPATIA MAARIFA KATIKA NYANJA NYINGI KAMA VILE SAYANSI, ELIMU,TIBA,UJASILIAMALI NA KOMPYUTA. KWETU MAARIFA NI UHAI . ILI KUPATA HUDUMA NA MSAADA WA KITEKNOLOJIA. TUPIGIE SIMU AU TUTAFUTE WHATSSAP KWA NAMBA 0629811027
Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
18 December 2020
Hii hapa ni Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha kwanza Tanzania Bara kwa mwaka 2021
NAMNA AMBAVYO MTU ANAPATA UGONJWA WA NGIRI (HERNIA) TATIZO LA NGIRI (HERNIA) Ngiri au Hernia ni aina ya ugonjwa ambao unampata mtu baada ya misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikiria au kubeba viungo (organs) fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi (Opening) na hivyo kusababisha viungo hivyo kutoshikiriwa ipasavyo katika sehemu vinapostahili kuwepo. Katika mwili wa binadamu, maeneo ambayo tatizo hili hutokea mara kwa mara ni maeneo ya tumboni, katika eneo la kinena, eneo la paja kwa juu na pia ngiri inaweza kutokea katika eneo ambalo mtu alifanyiwa upasuaji (operesheni). Tatizo la ngiri huweza kumpata mtu yeyote. Miongoni mwa vitu vinavyoweza kumsababisha mtu apate ugonjwa wa ngiri ni: Kuwa na uzito mkubwa wa mwili au kuongezeka uzito kwa ghafla, kazi ya kubeba au kunyanyua vitu vizito, tatizo la kukohoa au kupiga chafya kwa muda mrefu, ujauzito au matatizo yanayojitokeza kwa mwanamke wakati wa kujifungua pia kuharisha au kuvimbiwa (Constipation). Vitu hivyo pamoja na ...
Microsoft Office 2007 Enterprise Free Download Click on below button to start Microsoft Office 2007 Enterprise Free Download. This is complete offline installer and standalone setup for Microsoft Office 2007 Enterprise. This would be compatible with both 32 bit and 64 bit windows. Before Installing Software You Must Watch This Installation Guide Video Click Below Button for Additional Fix Password 123 BONYEZA LINK HII KWA MAELEKEZO ZAIDI
WordPress Blogger Wix WordPress Lorem ipsum dolor sit amet consectetur adipisicing elit. Quos nobis illo iste reiciendis, quam cupiditate, ipsum harum dolore eveniet nemo consequuntur? Hic magni voluptatum doloribus error dolorum labore, possimus soluta. Lorem ipsum dolor, sit amet consectetur adipisicing elit. Commodi, ratione! Lorem ipsum dolor sit, amet consectetur adipisicing elit. Quis repellendus vero praesentium, quisquam corporis quos eius omnis unde quibusdam voluptatem. Learn More Blogger Lorem ipsum dolor sit amet consectetur adipisicing elit. Quos nobis illo iste reiciendis, quam cupiditate, ipsum harum dolore eveniet nemo consequuntur? Hic magni...
Comments
Post a Comment