NINI MAANA YA MFUMO ENDESHI “OPERATING SYSTEM “ AU KWA KIFUPI "OS "



 Ni maelekezo au program inayo ongoza vifaa vyote kwenye kimpyuta ,simu  au kifaa chochote cha kielektroniki   

Mfano wa vitu inavyo viongoza ni kichakato kikuu “central processing unit” memory , vifaa vyote vinavyo toa au kuingiza taarifa, 

 Mfumo endeshi hupangilia kazi zote za kompyuta ili kuepuka mgongano kati ya program

 Tofauti na programu zingine ambazo huweza kufungwa kirahisi, mfumo endeshi unfaganya kazi mda wote na huzimwa pale tu kopyuta au simu inapozimwa 

 Mfumo endeshi wa siku hizi ni “multiprocessing” maana yake unaweza kuruhusu programu nyingi kufanya kazi kwa mfano unaweza kusikiliza mziki huku una peruzi kwa wakati mmoja  

MIFANO YA OS NI ANDROID ,WINDOWS NA LINUX

Comments

Popular posts from this blog

FAHAMU VISABABISHI VYA UGONJWA WA NGIRI(HERNIA)

KOZI YA KOMPYUTA KWA KISWAHILI