NIKOTINI INAFANYAJE KAZI MWILINI MWAKO?
NIKOTINI INAFANYAJE KAZI MWILINI MWAKO?
Nikotini ni kemikali ya Naitrojeni ambayo hutengenezwa na mimea mbalimbali ikiwemo tumbaku. Nicotiana tabacum , ni aina ya nikotini inayopatikana kwenye mimea ya tumbaku,
Nikotini haisababishi kansa yenyewe pekeake isipo kua humfanya mtu kua mraibu “addicted”
Nikotini huamsha tezi za adrenali na kuzifanya kuzalisha homoni ya ‘adrenalini”
Hivyo kusababisha msisimko wa mwili Glukozi juzalishwa kwa wingi, mapigo ya moyo huongezeka na kasi ya kupumua huongezeka
Comments
Post a Comment