Posts

Showing posts from January, 2021

SHERIA KWA KISWAHILI

  SHERIA KWA KISWAHILI   Home   ▼ DOWNLOADS Kabla ya kubofya sheria hizi hapa chini na kudownload, bofya " HOME " hapo juu ili kupata vitabu vingi uvipendavyo, na kuhusu msaada wa sheria unaweza kubofya " PRODUCTS " hapo juu, peruzi blog yote upendavyo utaona mambo mengi yenye faida kwako. mkaribishe na mwingine kupitia blog hii kwani imekuwa ya msaada kwa wengi. BAADA YA HAPO, bofya sheria yeyote hapa chini itatokea katika PDF file ichukue bure! . ACTS  (BOFYA SHERIA HUSIKA ILI KUDOWNLOAD)     1.  THE LEGISLATIVE PROCESS IN TANZANIA     2.  The Finance Act 2012 - Parliament of Tanzania     3.  Village Land Act       4. Land Act              5. Rent Restriction Act        6. Penal Code Cap. 16 English version       7. Land Amendment Act 2004 English version       8. Mortgage Financing (Special Provisions )Act ...

Vitu vya kuacha ili uweze kufanikiwa zaidi katika miezi 12 ijayo

Image
  Vitu vya kuacha ili uweze kufanikiwa zaidi katika miezi 12 ijayo  #1.acha kuwa na udhuru “excuses” wa kushindwa kufanikisha mipango yako Nimetokea katika familia ya kati, Skua na ajira wala mtaji, Ilifikia hatua nika kaa chini na kujiuliza nitaendelea kuweka udhuru mpaka lini, ni lini nitaanza kufanya ninachotakiwa kufanya ili nifanikiwe maishani? Niliamua kuzingatia zaidi “kufokas” kwenye vitu ambavyo ninaweza kuvifanya ili nibadili maisha yangu na nikaacha kuangalia changamoto gani zina nizonga katika maisha Asilimia 99 ya vijana wanashindwa kutoboa maishani kwa sababu ya kuweka udhuru, Utasikia “ah serikali hii haitujali” mara “aah sina connection” “wazazi wangu ni maskini” uchumi wan chi yetu ni mbovu”   “hali ya hewa” Ukweli ni kwamba ukitafuta udhuru ( au vijisababu ) utapata sababu za kutosha kwa nini hutwezi kufanikiwa    Amua nini unakitaka na uanze kukifanya sasa hivi haijalishi ita kughalimu nini #2. Acha kujilinganisha na wenzio Kuishi kama we...

NIKOTINI INAFANYAJE KAZI MWILINI MWAKO?

Image
 NIKOTINI INAFANYAJE KAZI MWILINI MWAKO?  Nikotini ni kemikali ya Naitrojeni ambayo hutengenezwa na mimea  mbalimbali ikiwemo tumbaku. Nicotiana tabacum , ni aina ya nikotini inayopatikana kwenye mimea ya tumbaku,   Nikotini haisababishi kansa yenyewe pekeake isipo kua humfanya mtu kua mraibu “addicted”   Nikotini huamsha tezi za adrenali na kuzifanya kuzalisha homoni ya ‘adrenalini”   Hivyo kusababisha msisimko wa mwili  Glukozi juzalishwa kwa wingi, mapigo ya moyo huongezeka na kasi ya kupumua huongezeka  

NINI MAANA YA MFUMO ENDESHI “OPERATING SYSTEM “ AU KWA KIFUPI "OS "

Image
 Ni maelekezo au program inayo ongoza vifaa vyote kwenye kimpyuta ,simu  au kifaa chochote cha kielektroniki    Mfano wa vitu inavyo viongoza ni kichakato kikuu “central processing unit” memory , vifaa vyote vinavyo toa au kuingiza taarifa,   Mfumo endeshi hupangilia kazi zote za kompyuta ili kuepuka mgongano kati ya program  Tofauti na programu zingine ambazo huweza kufungwa kirahisi, mfumo endeshi unfaganya kazi mda wote na huzimwa pale tu kopyuta au simu inapozimwa   Mfumo endeshi wa siku hizi ni “multiprocessing” maana yake unaweza kuruhusu programu nyingi kufanya kazi kwa mfano unaweza kusikiliza mziki huku una peruzi kwa wakati mmoja   MIFANO YA OS NI ANDROID ,WINDOWS NA LINUX

JINSI YA KUTENGENEZA MEMORI KADI AU FLASHI ILIYO HARIBIKA / KULIWA NA VIRUS

Image
  JINSI YA KUTENGENEZA MEMORI KADI AU FLASHI ILIYO HARIBIKA / KULIWA NA VIRUS  Kuaribika kwa flashi ni kitu kinachoumiza sana lakini kuna mbinu unaweza kujaribu kuzitumia ili kuirejesha katika hali yake . Tumia kompyuta yako unapotumia mbinu hii Tumia nyezo “tool” inayoitwa “command prompt” au kwa kifupi cmd , kw akutumia mbinu hii unatakiwa unandike maelekezo “commands” ili uweze kufomati memori au flashi iliyo haribika  Fuata hatua zifuatazo  1. Chomeka flashi iliyo haribika au kuliwa na virus  2. Peleka kielekezi cha mouse “pointer” kwenye batani ya mwanzo “start button” na ubonyeze bofye mouse kitufe cha kulia “right click” au nenda sehemu iliyoandikwa “search” na uandike CMD alafu ubofye, kidirisha cmd “cmd window” kitatokea  3. Adnika “diskpart”  alafu bofya kitufe kilichoandikwa “enter”  4. Andika “list disk” alafu bofya “enter” utaona mlolongo wote wa vitunza taarifa “storage devices” kwenye kompyuta yako  5. Andika “select< n...

Njia tatu zitakazo kusaidia ili uweze kuuza zaidi

Image
 Njia tatu zitakazo kusaidia ili uweze kuuza zaidi  Ujasiriamali si tu kutengeneza bidhaa  au huduma bora kwa ajili ya watu , Ili uweze kufanikiwa zaidi katika ujasiria mali ni vyema uwe na uwezo zaidi wa kuuza bidhaa au huduma yako Ufanye nini ili watu waweze kununua kwako zaidi kuliko kwa watu watu wengine walio katika soko lako Zifuatazo ni mbinu tatu ambazo kama ukizifuata zitakusaidia uweze kuuza zaidi bidhaa au huduma zako za ujasiriamali katika soko  #1. Wapende watu    Ili watu waweze kupenda na kununua bidhaa yako, waweze kusema ndio ni vizuri kujua saikolojia ya kushawishi , Ili kumshawishi mtu kirahisi ni vizuri zaidi ukamfanya akupende wewe kwanza. Binadamu hatupendi mtu anapotulazimisha kununua ,   Kama nikikupenda nitakuamini na nikikuamini itakuwa rahisi kwangu kufungua waleti yangu na kununua kwako. Ili wateja wakupende ni muhimu uwapende kwanza, hutakiwi kuigiza kwa kua ukiigiza wateja watagundua Ukichukia tatizo unalo litatua itakua r...

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020

Image
  >>>>BOFYA HAPA<<<<

13 secrets school did not teach you about how to be rich

Image
 

TOP HITS DOWNLOAD

Image
  1 Trending playlist FANTASY ft FEMI KUTI NINIOLA 2:56 Nishazama Tommy Flavour 3:05 Inawauma Masauti 2:46 Mama With Goodluck Gozbert Ben Pol 4:09 Nakyuka Sheebah 3:22 One Night Stand Ibraah 4:04 Utaniua Yangy 2:45 Lingala Na Sheng Rico Gang 3:21 Jerusalema ft Nomcebo Master KG 4:14 Ada Kizz Daniel 2:37 Know You (feat. Simi) Ladipoe 3:50 Kwata Wano SPICE DIANA 3:21 BODA SODIQ NINIOLA 3:39 DESIGNER ft SARZ NINIOLA 3:29 MARADONA NINIOLA 3:11 Waah feat Koffi Olomide Diamond Platnumz 4:29 Zumbukuku BarnabaClassic 3:49 Upofu feat. Malkia Karen BarnabaClassic 3:19 Pasua Kichwa BarnabaClassic 2:58 Shemeji feat Baraka Darassa 3:10 Hasso Darassa 3:33 Nikiondoka Darassa 2:38 By You ft Adenkule Gold Simi 3:38 Kuja Mbaya ft Exray (Boondocks Gang) Mbogi Genje 4:23 KIBOKO(REMIX) Masauti 3:43 Jeshi Harmonize 3:17 Jeje Diamond Platnumz 3:19 Swahili Girl x Eliad Gilad 3:36 Weekendy SAILORS 4:04 Adaobi ft Don Jazzy, Reekado Banks, Di'ja Korede Bello 4:25 Ginger Me Rema 3:26 Betty Butter ft Davido Ma...