MGONGO WAZI NA VICHWA KUJAA MAJI
Ugonjwa wa mtoto kuzaliwa na nafasi kwenye uti wa mgongo unaitwa Spina Bifidaugonjwa huu hutokana na upungufu wa vitamin B9 (foliac acid).
mama mjamzito hutakiwa kutumia vitamin B9 wakati wa ujauzito au wakati anpopanga kuwa mjamzito. vit hivi huzsaidia kukuwa kwa neva na ubongo mwilini.Dalili ya kawaida ya upungufu wa Vit B9, Vitc ni pamoja na kuharisha, anemia na udhaifu au kupumua kwa taabu, uharibifu wa neva (mishipa ya fahamu)na mwili kuwa una kufa ganzi matatizo ya mimba, kuchanganyikiwa akili, usahaulifu au kumbukumbu kuwa ndogo, majonzi ya akili (depression), au vidonda katika ulimi, midomo , maumivu ya kichwa, mapigo ya moyo kwenda haraka , kuwashwa, na matatizo ya kitabia.
Kiwango cha chini cha Vit B9 na Vt C pia husababisha mkusanyiko homocysteine. DNA zisip okarabati huharibika na hii inaweza kusababisha maendeleo ya kansa.
Vyakula vyenye vitamini hii ni mboga za majani ya kijani, mbazi, choroko
Mama zingatia maelezo ya clinic ni muhimu. Kwa mengi zaidi tufuatilie kupitia www.afyanauzazi.blogspot com au tuffollow
Comments
Post a Comment