Popular posts from this blog
KOZI YA KOMPYUTA KWA KISWAHILI
Tarakilishi/ kompyuta Ni mashine ya kielektroniki yenye uwezo wa kipokea kichakata, kuhifadhi na kutoa taarifa kwa haraka kulingana na maelekezo -Huwekwa programu -Hutumika kurahisisha kazi mbalimbali Kazi za msingi za tarakilishi Kuingiza au kupokea data au taarifa Kutenda na kuchakata data au taarifa Kuhudadhi data au taarifa Kutoa au kuonesha matokeo ya kazi au taarifa Aina za tarakilishi Kuna aina mbili za tarakilishi: tarakilishi ya mezani na tarakilishi mpakato Tarakilishi ya mezani -Vifaaa vyake vimetenganishwa -vifaa vyake ni kashamfumo, kibodi , kiteuzi na monita Tarakilishi mpakato -Vifaa vyake vyote vimeunganishwa -Hurahisiha ubebaji na matumizi mahali popote Kazi za vifaa vya tarakilishi Kashamfumo : Huifadhi na kulinda vifaa vyote vya kielektroniki Kichakato kikuu : hupokea na kuchakata kazi zote zinazoingia kwenye tarakilishi Kiteuzi au mausi: Hutumia kielekezi kumwelekeza mtumiaji wa tarakilishi kuelekeza tendo fulani analotaka kufanya Kibodi : Hutumika kuingiza dat
FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA U.T.I
FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA U.T.I UTi ni ugonjwa ambao unasumbua watu wengi; watoto, vijana na watu wazima. UTI ni kifupisho cha Urinary Tract Infection. Huu ni ugonjwa ambao hushambulia figo (kidneys); ureters; ambayo ni mirija inayounganisha figo na kibofu cha mkojo, kibofu cha mkojo (bladder) na urethra; sehemu inayotoa mkojo toka kwenye kibofu cha mkojo hadi nje ya mwili. Kwa kifupu ugonjwa wa UTI hushambulia viungo vinavyohusika katika kupitisha mkojo kabla haujatoka nje ya mwili. Hebu tuvitazame viungo hivi kabla ya kueleza chanzo cha ugonjwa na tiba ya UTI baadaye hapa chini. Kuelewa vizuri tunachokizungum zia hapa tazama picha ya viungo hivi na kwa kifupi hapa tutatoa maelezo ya picha hiyo. Figo ni viungo viwili vilivyopo kimoja kila upande wa uti wa mgongo eneo la kiunoni. Figo hufanya shughuli nyingi katika mwili wa binadamu ikiwepo ya kutoa uchafu na maji ya ziada katika damu, na huvitoa vitu hivi kama mkojo. Kwa sababu hii, figo ni muhimu sana katika kuweka msukumo wa damu k
Comments
Post a Comment