FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA NGIRI



Ngiri au Hernia ni aina ugonjwa ambao tampata mtu baada ya misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshilikiana au kubeba viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake kuwa na uwazi na hivyo kusababisha viungo hivyo kutokushikiwa ipasavyo katika sehemu vinapostahili kuwepo.

Katika mwili wa binadamu, maeneo ambayo tatizo hili hutokea mara kwa mara ni maeneo ya tumboni,katia eneo la kinena,eneo la paja kwa juu na pia ngiri inaweza kutokea katika eneo ambalo mtu alifanyiwa upasuaji,Ugonjwa huu wa ngiri unawapata watu wa rika zote.Mshipa wa ngiri ni jina lililokusanya magonjwa kama ngiri kavu (Hernia), Ngiri maji ( Hydrocele ), na Ngiri nyingine kama vile kvimba kokwa au mfereji unaopitisha maniiunaojulikana kitaalamu kama (Epididmorehitis)

Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.

DALILI ZA NGIRI

1. Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.

2. Kupiga mingurumo tumboni.

3. Kujaa gesi tumboni.

4. Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.

5. Kupata haja ngumu kama ya mbuzi.

6. Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.

7. Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.

8. Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.

9. Nuru ya macho hupotea taratibu.

10. Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.

11. Huvutwa makende au upande mmoja maumivu.

12. Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.

13. Kende (pumbu)moja au mbili kuvimba

14. kende (pumbu) moja au mbili kupotea

15. maaumivu makili juu ya kinena na kwenye kende

16. kujaa upepo semeh ya juu ya kinena

17. kende kujaaa majii

*KWA UPANDE WA WANAWAKE*

1.Hutokea kuumwa sana na chango asubuhi au jioni au kabla ya kupata siku zake.

2. Husababisha anaenda haja ndogo mara kwa mara kuwashwa sehemu za siri.

3. Anapojamiana huona adha na dhiki wala hahisi ladha yoyote na dalili nyingine ni

Comments

Popular posts from this blog

KOZI YA KOMPYUTA KWA KISWAHILI

Lies the poor parent tell children