Posts

Showing posts from November, 2020

WINDOWS 10 ACTIVATOR

Image
 password :  getkmspico.com >>>DOWNLOAD<<<

FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA NGIRI

Image
Ngiri au Hernia ni aina ugonjwa ambao tampata mtu baada ya misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshilikiana au kubeba viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake kuwa na uwazi na hivyo kusababisha viungo hivyo kutokushikiwa ipasavyo katika sehemu vinapostahili kuwepo. Katika mwili wa binadamu, maeneo ambayo tatizo hili hutokea mara kwa mara ni maeneo ya tumboni,katia eneo la kinena,eneo la paja kwa juu na pia ngiri inaweza kutokea katika eneo ambalo mtu alifanyiwa upasuaji,Ugonjwa huu wa ngiri unawapata watu wa rika zote.Mshipa wa ngiri ni jina lililokusanya magonjwa kama ngiri kavu (Hernia), Ngiri maji ( Hydrocele ), na Ngiri nyingine kama vile kvimba kokwa au mfereji unaopitisha maniiunaojulikana kitaalamu kama (Epididmorehitis) Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu. DALILI ZA NGIRI 1. Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu. 2. Kupiga mingurumo tumboni. 3. Kujaa gesi tumboni. 4. Kuhisi haja kubwa n...

MAJINA YA WALIMU WALIO AJIRIWA NOVEMBA 2020

Image
  BOFYA HAPA au hapa