Posts

Showing posts from October, 2020

KALI LINUX DOWNLOAD

Image
  DOWNLOAD

UBUNTU DOWNLOAD

Image
  DOWNLOAD

WINDOW 7 DOWNLOAD

Image
  CLICK HERE

UNATAKA KU FLASH SIMU YAKO!!! : CHEKI HII PROGRAMU HAPA

Image
FT Dongle V1.4.0 Crack||Without Dongle[ MTK,Spd,Qualcomm,Samsung,HTC,Huawei,MI etc 51,551 views 491 48 Share Save Report AL-Ameen Computer SUBSCRIBE Published on Oct 1, 2018 Download Link EFT Setup:- https://drive.google.com/open?id=1L9e... Download Loader:- https://drive.google.com/open?id=1UZ-... Password:- alameencomputer SAMSUNG: - Extract TAR ROMs - Extract .img files - Dump ROM using ADB - Fix Wi-Fi errors - Add Mobile Data toggle - Remove Secure Storage - Add Arabic & Farsi languages to samsung keyboard - Fix contacts errors for general and Docomo series - Remove T-Mobile bootlogo - Enable hidden languages - Fix TouchWizHome errors - Enable LTE connection - Fix read SIM errors - Repair S-Health on tripped knox - Set SIM count to dual | single - Repair USSD codes - Dump bootlogo and flash it - Dump keyboard languages and write them - Active some useful CSC features - Disable notifications (security updates, SIM card not from and security reports) - Flash factory firmware

DONDOO MUHIMU KUHUSU MTINDO BORA WA MAISHA ILI KUZUIA NA KUKABILIANA NA SARATANI.

Image
  Posted by  Topten Herbs    August 01, 2020 DONDOO MUHIMU KUHUSU MTINDO BORA WA MAISHA ILI KUZUIA NA KUKABILIANA NA SARATANI. Saratani na matibabu yake huweza kumfanya mtu kuwa dhaifu. Ni muhimu sana kwa mgonjwa wa saratani kuzingatia ulaji bora na kufuata mtindo bora wa maisha kwa sababu unasaidia sana kupunguza madhara ya ugonjwa kabla, wakati na baada ya tiba. Hata kwa wale waliugua na kupona saratani wanahitaji kudumisha mtindo bora wa maisha ili kupunguza uwezakano wa saratani kurudi tena. Hivyo ni muhimu kila mmoja kuzingatia ushauri ufuatao: Tumia vyakula vitokanavyo na mimea Zaidi: Kula mboga-mboga na matunda kwa wingi kila siku. Kula mboga-mboga za kijani, njano, nyekundu, zamabarau na rangi nyingine zilizopikwa angalau ujazo wa kikombe kimoja katika kila mlo. Tumia pia mboga zisizopikwa, kama vile saladi, nyanya, matango n.k; hakikisha mboga-mboga zinazoliwa mbichi zinaoshwa vizuri kwa maji safi na salama. Kula matunda ya aina mbalimbali angalau tunda moja katika kila mlo. K

Hii Hapa Sababu Kubwa Inayowafanya Wanawake Kupiga Kelele Wakati wa Tendo la Ndoa

Image
  Hii Hapa Sababu Kubwa Inayowafanya Wanawake Kupiga Kelele Wakati wa Tendo la Ndoa on  November 24, 2019   Kumekuwa na tabia au hali ya wanawake wengi kupiga kelele au unaweza kusema kutoa sauti wakati wakishiriki tendo la ndoa. Hali hii imeacha maswali kama kutoa huko sauti ni jambo la asili au ni mwanamke mwenyewe anaamua hapa atoe sauti na kwingine asitoe. Mwaka 2011 watafiti wawili mmoja kutoka Chuo Kikuu cha Lancashire na mwingine kutoka Chuo Kikuu cha Leeds wote wa nchini Uingereza walichapisha utafiti wao walioufanya uliokuwa ukihusu utoaji wa sauti wa kati wa kujamiina. Walitaka hasa kujua kwanini wanawake hutoa sauti hizo. Katika utafiti huo, waliwahoji wanawake 71 wenye umri kati ya miaka 18 na 48 ambao hushiriki mapenzi mara kwa mara juu ya utoaji wa sauti wakati wa kujamiiana. Katika utafiti huo ulibaini kuwa wanawake wengi huto sauti hizo lakini sio pale tu wanapokuwa wamefika kileleni. Asilimia 66 walisema kuwa hutoa sauti wakati wa kujamiina ili  kuwasaidia wenza wao ku